Balozi Radhia Naima Msuya
Balozi Radhia Naima Msuya
Wasifu
Radhia Naima Msuya ni Balozi na Mwanadiplomasia mwandamizi akiwa amehudumu kama Balozi wa Tanzania katika Nchi mbalimbali ikiwemo Afrika Kusini, Namibia, Lesotho, Botswana na katika Taasisi ya SADC. Kutokana na weledi wake katika Diplomasia, Balozi Radhia Msuya amewahi kutunuliwa nishani ya Heshima (National Order of Merit) na Rais wa Ufaransa.