Balozi Paul Meela
Balozi Paul Meela
Wasifu
Paul Meela ni Balozi na Luteni Jenerali Mstaafu wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania. Amewahi kuwa Balozi wa Tanzania nchini DRC. Akiwa Generali Mwandamizi wa Jeshi, Jenerali Paul Meela ameshiriki katika shughuli nyingi za kuleta amani, ikiwemo kuwa Force Commander wa majeshi ya Umoja wa Mataifa Darful, amewahi kuhudumu kwenye timu ya usuluhishi chini ya Rais mstaafu wa Kenya Mhe. Uhuru Kenyatta ambaye alikuwa Msuluhishi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki katika mgogoro wa mashariki ya DRC