Prof. Ibrahim Hamis Juma
Prof. Ibrahim Hamis Juma
Prof. Ibrahim Hamis Juma
Mjumbe wa Tume
Barua pepe: ibrahim.juma@tume.uchunguzi.go.tz
Simu: 0743040890
Wasifu
Prof. Ibrahim Hamis Juma Amewahi kuwa Jaji Mkuu wa Tanzania kuanzia mwaka 2017 hadi mwaka 2025. Aliwahi kuwa Jaji wa Mahakama ya Rufani, Jaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania na Profesa wa Sheria katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam. Akiwa Jaji Mkuu alisimamia maboresho makubwa ya Utendaji wa Mahakama ya Tanzania, kwa kutambua mchango wake katika kazi hiyo alitunukiwa Nishani ya Kumbukumbu ya Muungano daraja la pili.
Vilevile, Prof. Ibrahim Hamis Juma amewahi kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Kurekebisha Sheria, na amewahi kuhudumu kama Kamishna na Mwenyekiti wa Tume ya Utumishi wa Mahakama.